Sare ya mabao 2-2 kati ya Arsenal na Wolverhampton imeacha maumivu makubwa kwa mashabiki wa Arsenal, hasa ikizingatiwa uzito wa alama zilizopotea katika nyakati muhimu msimu wa Premier League. Arsenal ...
WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajiwa kuondoka leo Alhamisi kwenda Zanzibar kwa ajili ya mechi ya mwisho ya Kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika ya kuamua hatma ya kutinga robo fainali, nyota mpya wa ...
Dar es Salaam. Ubora anaouonyesha hadi sasa ndani ya JKT Tanzania ni dhahiri kabisa Salehe Karabaka ameyaanza maisha mapya ndani ya Klabu hiyo ambayo anaichezea kwa mkopo kutokea kwa Wekundu wa ...
Mbali na hoja hiyo moja mahakama imekataa hoja nyingine nne za Lissu za pingamizi hilo ikiwa ni pamoja na uhalali wa mashahidi hao fiche wa Jamhuri.
TANZANIA na Uganda zimefungua ukurasa mpya wa kiuchumi huku zikisisitiza haja ya kuondoa vikwazo vya kiuchumi vinavyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya kikanda. Hayo ni miongoni mwa masuala manane ...
Rais wa Marekani, Donald Trump ametoa wito wa kuwepo makubaliano mapya ya nyuklia baada ya Mkataba wa mwisho wa kudhibiti silaha za nyuklia kati ya Urusi na Marekani kumalizika jana Alhamisi. Hatua ...