Rais wa Marekani, Donald Trump ametoa wito wa kuwepo makubaliano mapya ya nyuklia baada ya Mkataba wa mwisho wa kudhibiti silaha za nyuklia kati ya Urusi na Marekani kumalizika jana Alhamisi. Hatua ...
Wakuu wa nchi za Afrika wanakusanyika mwishoni mwa wiki hii katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kwa mkutano wao wa kila mwaka katika wakati ambao nafasi ya bara hili katika siasa za kimataifa ...
Makundi yenye itikadi kali za kidini yanazidi kufanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani katika eneo la Afrika Magharibi, na hivyo kuzusha hofu kwamba yanaimerisha uwezo wa kuendesha "vita kutoka ...
TANZANIA na Uganda zimefungua ukurasa mpya wa kiuchumi huku zikisisitiza haja ya kuondoa vikwazo vya kiuchumi vinavyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya kikanda. Hayo ni miongoni mwa masuala manane ...
Katika kuunga mkono juhudi za serikali kupambana na ajali za barabarani Taasisi ya Mpango wa Usalama Barabarani, imesema imejipanga kuanza kutoa elimu na kusajili madereva ili kukoa maisha. Hayo ...
Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves. ILI kukiongezea nguvu kikosi chake, Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amesema katika ripoti yake anahitaji wachezaji watatu wapya wasajiliwe kipindi cha ...
WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajiwa kuondoka leo Alhamisi kwenda Zanzibar kwa ajili ya mechi ya mwisho ya Kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika ya kuamua hatma ya kutinga robo fainali, nyota mpya wa ...
Sare ya mabao 2-2 kati ya Arsenal na Wolverhampton imeacha maumivu makubwa kwa mashabiki wa Arsenal, hasa ikizingatiwa uzito wa alama zilizopotea katika nyakati muhimu msimu wa Premier League. Arsenal ...
Dar es Salaam. Ubora anaouonyesha hadi sasa ndani ya JKT Tanzania ni dhahiri kabisa Salehe Karabaka ameyaanza maisha mapya ndani ya Klabu hiyo ambayo anaichezea kwa mkopo kutokea kwa Wekundu wa ...
Mbali na hoja hiyo moja mahakama imekataa hoja nyingine nne za Lissu za pingamizi hilo ikiwa ni pamoja na uhalali wa mashahidi hao fiche wa Jamhuri.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results