MOJA ya mambo Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Rais Samia Suluhu Hassan, anayoahidi kuyafanya iwapo Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza nchi, ni kuanzisha mchakato wa katiba mpya ndani ya ...
KLABU ya Yanga imesema tayari imempata Kocha Mkuu atakayeifundisha timu hiyo kwa msimu ujao wa mashindano, lakini haitomtangaza hadi hapo itakapomaliza zoezi la usajili ambalo yeye ndio analisimamia.
Dar/mikoani. Ukiacha mzigo wa malipo ya ada za wanafunzi na gharama nyingine za maisha kila inapoanza Januari, mwaka huu hali imekuwa mbaya zaidi, kwani makali yamegusa hadi kwenye bei za vyakula. Si ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa ujumbe mzito wa Mwaka Mpya kwa ulimwengu akisema ulimwengu uko katika njia panda, ukikabiliwa na machafuko, sintofahamu na migawanyiko mikubwa ...
WAKATI wowote kuanzia leo Simba itamtangaza kocha mpya wa kigeni, atakayekuja kuchukua mikoba ya Dimitar Pantev aliyeachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya pande hizo mbili, huku akiachiwa msala wa ...
Mudavadi alibainisha kuwa inakadiriwa kwamba mitandao ya usajili ingali inaendelea na kazi hiyo nchini Kenya na Urusi. Na Asha Juma Chanzo cha picha, RAJAT GUPTA/EPA/Shutterstock Siku tatu baada ya ...
Ingawa Tume hiyo inasema kuwa bado haifahamu ukubwa wa tatizo, lakini inaisitiza kwamba matokeo ya uchunguzi huo yanaweza kukamilika chini ya miezi miwili. Na Mariam Mjahid & Asha Juma Chanzo cha ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) limezindua ripoti mpya leo pembezoni mwa Mkutano wa Mawaziri wa Afya wa G20 uliofanyika Limpopo, Afrika Kusini, likitoa wito kwa hatua thabiti za ...
Kanali Michael Randrianirina ametawazwa kuwa Rais wa mpya wa Jamhuri ya Madagascar leo Ijumaa, Oktoba 17, 2025, huko Antananarivo. Tukio hili linakuja siku tatu baada ya Bunge la taifa kumuondoa Mkuu ...
DAR –ES-SALAAM : VYAMA vikuu vya siasa nchini vimeweka upatikanaji wa Katiba Mpya kama kipaumbele katika ilani zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, hatua ambayo imeibua matumaini mapya ya kufufua ...
Yanga imesema imeshusha mzigo wa jezi mpya awamu ya pili zitakazokuwa na mabadiliko ili kuwakimbia wahujumu wa mapato wanaofyatua jezi feki. Akizungumzia hilo, Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ...
Dar es Salaam. Ahadi ya mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ya kuandaa mazingira ya mchakato wa Katiba mpya ndani ya siku 100 za uongozi wake, imeelezwa kuwa ikitekelezwa ...