Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum kwa njia ya mtandao kesho Julai, 26, 2025 huku ajenda kuu ikitajwa kuwa ni marekebisho madogo ya Katiba. Katibu wa Halmashauri Kuu ya ...
Rais wa Kenya William Ruto amepuuzilia mbali wapinzani wake wa kisiasa akisisitiza kujitolea kwake kupunguza gharama ya maisha na kuimarisha usalama wa chakula. Akithibitisha kujitolea kwake kuleta ...
Ingawa Iran imezungumza na Marekani kuhusu mpango wake wa nyuklia nchini Uswisi, Tehran na mshirika wake wa Urusi watafanya luteka ya kijeshi nje ya pwani ya Jamhuri ya Kiislamu siku ya Alhamisi, ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anapanga kufanya mazungumzo zaidi na Iran kuhusu uwezekano wa kupata makubaliano ya nyuklia na kusema huenda asitumie nguvu ya kijeshi dhidi ya taifa hilo. Baada ...
RABAT, MOROCCO: SHABIKI wa kutupwa wa Galatasaray amepeleka mapenzi yake kwa mshambuliaji wa Super Eagles, Victor Osimhen, nje ya mipaka ya Istanbul, imeripotiwa. Shabiki huyo alifika katika kambi ya ...
Jumla ya watu milioni 6.8 katika taifa hilo la Afrika Magharibi wanatarajiwa kujitokeza siku ya Jumapili majira ya 7:00 asubuhi hadi saa 6:00 jioni kuwapigia kura wagombea tisa wa nafasi ya urais.
(Nairobi) - Mamlaka za Tanzania zimewakamata kimakosa wanaodaiwa kuwa waandaji wa maandamano na wafuasi wa upinzani kabla ya maandamano ya nchi nzima yaliyoitishwa Desemba 9, 2025, Human Rights Watch ...
Mawakili wa Trump wametishia kuishtaki BBC kwa fidia ya $1bn (£759m). Na Asha Juma Chanzo cha picha, Getty Images Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa nchi ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema ameiagiza Wizara ya Ulinzi kuanza mara moja kufanya majaribio ya silaha za nyuklia "sawa sawa" na silaha zingine zenye nguvu. Na Asha Juma & Mariam Mjahid Chanzo ...
Hiki ni kipindi kinachohusisha ripoti na mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea mahojiano na Sadock Mugendi, Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results