SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetoa wito kwa wadau wa afya ulimwenguni kuzingatia suala la afya ya akili kwa watu wanaoishi na magonjwa ya kitropiki yaliyopuuzwa, (NTDs) likitoa ushahidi kwamba ...
Utafiti tofauti zimeonyesha kuwa mifumo hiyo ya AI imekuwa ikijaribu kuwafurahisha watumizi wake, na kuongezea kuwa OpenAI ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuchukua hatua ya utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa wakati wa kampeni wilayani Karatu mkoa ...
Kuachana kimapenzi ni ngumu. Kutoka wakati mmoja hadi mwingine, unapoteza mtu ambaye ulishiriki naye kila kitu. Lakini ...
Dar es Salaam. Kuna jambo lisilo la kawaida linaloendelea katika miji mikuu ya Tanzania. Ongezeko la kasi la maduka ya dawa za asili. Hali hii inajitokeza wakati ambapo nchi imekuwa ikipiga hatua ...
Maafisa wa wizara wanasema wataalamu hao watakutana Februari 19. Ikiwa serikali itaidhinisha mpango huo, Japani inaweza kuwa nchi ya kwanza duniani kuruhusu uuzaji na uzalishaji wa matibabu ...
Nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya, EU, zinakutana leo Alhamisi nchini Ubelgiji ili kuharakisha mageuzi yanayolenga kurejesha ushindani wa uchumi wa Ulaya, uliozidiwa na ushindani mkali wa China na ...
KWA mara ya kwanza, Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza kutoa huduma za upasuaji wa kibingwa wa kutibu mishipa ya fahamu iliyoathirika kutokana na ajali katika mikono na miguu ...
VAIBU la wimbo wa Vulindlela ukipigwa katika kumbi mbalimbali za starehe, linahamasisha watu kunyanyuka vitini na kuanza kucheza kutokana na mdundo wake unavyovutia. Mwanamuzi nguli, Brenda Nokuzola ...
Msanii wa kike wa Bongofleva, Zuchu, ameendelea kuthibitisha nafasi yake katika muziki wa Tanzania kupitia nyimbo zake za mapenzi zinazopendwa na mashabiki wa rika zote. Zuchu, ambaye yupo chini ya ...
Huko Ukanda wa Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel, wiki hii, mamlaka za Israel zimewasilisha miili 54 pamoja na mifuko 66 iliyosheni mabaki ya viungo vya binadamu ya Wapalestina ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results